Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)

1,500,811
0
Published 2024-02-14
Urejesho ni mchakato wa kurudisha kitu kilichoharibika au kupotea. Biblia inatuhimiza kumgeukia Mungu. Na kupitia imani na maombi, tutapata uponyaji, kurejeshewa nguvu, na kupewa maisha mapya katika Kristo Yesu.

‭Yer‬emia 30:17‬
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA ...
‭‭Yoe‬li ‭2:25‬ ‭
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.

Mnamo mwaka 2022, Familia ya Ev. Mchome, ilipitia kipindi kigumu sana baada ya kumpoteza mama yao mpendwa (Aliyeanguka ghafla na kufariki). Majonzi na simanzi kubwa ilitanda mioyoni mwao mithili ya wingu zito na giza totoro, hakuna maneno mazuri ambayo yangetosha kuwapa faraja familia hii.

Na hapa ndipo yalipatikana Mafunuo ya wimbo huu: Full story link -    • Neema Gospel Choir - Nikurejeshee Ins...  

Songwriter & Composer: Herman Mchome
Leader: Herman Mchome

#neemagospelchoir #gospel #nikurejeshee

——

VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.

𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel

All Comments (21)
  • @NeemaGospelChoir
    NIKUREJESHEE LYRICS Nasikia kuitwa na sauti yake anasema njoo kwangu nikurejeshe Yaliobiwa yaliyochukuliwa na mwovu anasema njoo kwangu nikurejeshe Nikurejeshe, nikurejeshe Anasema njoo kwangu nikurejeshe Amani ya moyo iliyotoweka usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata Furaha ya kweli iliyotoweka usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata Ndipo hayo mema yatakujilia Atarejesha vyote adui alivyochua Ndipo hayo mema yatakujilia Atarejesha amani ya moyo na furaha ilipotea Nikurejeshe Nikurejeshe Anasema Njoo kwangu Nikurejeshe Nikurejeshe Nikurejeshe Anasema Njoo kwangu Nikurejeshe
  • @lutumbinduta1702
    Wanaorudia mara kwa mara wimbo huu wa upako mnoo gonga like za kutoshaa hapaa.
  • @newsreporttv2
    Wimbo mzuri sana. Kama unaomba Urejesho April 2024 piga like hapa. 🇰🇪🇰🇪
  • @loycejames
    Wanaotamani hii nyimbo ifike 3 million views. like hapa 🙏🙌
  • Naomba nirejeshee nafasi ya kuitwa mama na mimi kama wamama wengine🙏🙏😭😭
  • @TheWorldGospel
    Gonga Likes hapa TUNAOREJESHEWA 🔥🔥🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪
  • @jnmsangi75
    One day ntarudi katika comment hii na Ushuhuda 🙏🏾
  • Anarudisha kila kitu adui alichukua kwa familia yangu, furaha, amani, kazi, ndoa, pesa...we can only worship in true and spirit. Amen
  • Kama unaamini Yesu analudisha yaliyo liwa ma parale na madumadu analehesha nione like Moja hapa hallelujah analehesha🎉🎉 🎉🎉. Congratulations all the team neema gospel Mungu awazidishie
  • @qnmwashuya-dq4vy
    Ten days ago nilisikiliza huu wimbo nikaandika bwana arejesheee afya ya mama yangu Figo, inni, uvimbe na tumbo kujaaa maji Sasa bwana amerejesha kwa imaniiiii thanks Jesus umeleta aman na furaha kweli vyapatikana kwako. Thanks watumishi walimwombea mama yangu na huuu mwimbo umeongeza imaniiiiiiiiiiiii. Daah bwana Asante mbarikiwe sana neeema group
  • Mungu naomba unirejeshee vyote adui alivyochukua kwangu katika jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai
  • @mutukiworldwide
    Piga likes hapa kama ume barikiwa na huu wimbo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
  • Naomba urejeshe aman kwenye maisha yangu kile adui kaiibia familia yangu kirud kwa jina la Yesu na ninapokea urejesho.
  • kama wewe pia umesikia kuitwa na MUNGU through this song usiache kulike 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
  • @helnaamon3553
    Mungu anirejeshee kila adui alichoiba kwenye maisha yangu,pia ibada yangu ikarejeshwee,nafasi yangu,kibali changu,huduma yangu,na wote mnaosoma coment hii mniombeee Mungu anikumbuke ,naandika kwa kumaanisha
  • Kenya tufanye viile likes zipandeee 🇰🇪🇰🇪....Willian & Andrew mko fire sana 🔥🔥🔥
  • @user-xz4gp6mw6w
    Mungu awabariki nina ushuhuda na huu wimbo ninausikiliza tena na tena🙏🙏🙏
  • Yesu asbh ya leo ninaomba unirejeshee yote yalioibiwa ktk maisha na ndoa yangu,Amen