Neema Gospel Choir - Msalabani (Official Live Music)

1,701,410
0
Published 2022-04-13
Alama ya ukombozi wetu. Kwa upendo mkuu Yesu alijitoa kufa kwa mateso na aibu ili sisi wanadamu tuokolewe dhambini na kupatana na Mungu tena.
1Kor 1:18

๐—Ÿ๐˜†๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐˜€:
Msalabani pa Mwokozi,
(At the cross of our savior)
Wapatikaana ukombozi.
(Thereโ€™s redemption)
Ni kazi ya thamani yake Yesu
(Itโ€™s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Msalabani pa Mwokozi,
(At the cross of our savior)
Wapatikaana ukombozi.
(Thereโ€™s redemption)
Ni kazi ya thamani yake Yesu
(Itโ€™s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Tumesamehewa dhambi hatuna deni,
(Pardoned our sins, we are dept free)
Amelipa yote Bwana hatuna deni ,
(He paid it all, we are dept free)
Ni kazi ya thamani yake Yesu
(Itโ€™s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Unyenyekevu uvumilivu na upendo
(Humility, perseverance, and love)
Huruma nyingi na fadhili kwetu
(For his mercifulness to us)
Ni sifa za thamani zake Yesu
(Itโ€™s the precious attribute of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

Tumesamehewa dhambi hatuna deni,
(Pardoned our sins, we are dept free)
Amelipa yote Bwana hatuna deni ,
(He paid it all, we are dept free)
Ni kazi ya thamani yake Yesu
(Itโ€™s the precious work of Jesus)
Msalabani pa Mwokozi
(At the cross of our savior)

On this 3rd drop Msalabani from ๐—ฆ๐—œ๐—ก๐—š ๐—ช๐—œ๐—ง๐—› ๐—ง๐—›๐—”๐—ก๐—ž๐—ฆ๐—š๐—œ๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—š (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, The Song Leader Minister - Samwel Limbu, Our Church - AICT Changโ€™ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.

Song Written by Fredrick Masanja

Credits:
Video, Directed & Edited by: Johnson Amigo
Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Fresterโ€™s Record (Fredrick Masanja)

FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
Sound Engineer; Jeddy DC
Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
Lights: Allan Lights
Stage: Hugo Domingo
#neemagospelchoir #gospelmusic #gospeltanzania

๐‚๐จ๐ง๐ง๐ž๐œ๐ญ ๐ฐ๐ข๐ญ๐ก ๐ฎ๐ฌ ๐•๐ข๐š:
Instagram : Neema Gospel Choir
Fecebook : Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
Whatsapp: wa.me/message/3UP76KFADMY4D1

All Comments (21)
  • @AlexJoseck
    LICHA YA UTAMU WA MELODY YA WIMBO YAANI MTAMU TU KUUIMBA.... MSALABAAAAAAAANIIII UWIII KUNA PIA VOCALS TAMU SANA NA BEATS ZINAUFANYA WIMBO UCHEZEKEEEE.... SASA HAYO TUACHE! THE DOCTRINAL MEANING BEHIND THIS SONG OOOOO " "๐™๐™๐™ˆ๐™€๐™Ž๐˜ผ๐™ˆ๐™€๐™ƒ๐™€๐™’๐˜ผ ๐˜ฟ๐™ƒ๐˜ผ๐™ˆ๐˜ฝ๐™„ ๐™ƒ๐˜ผ๐™๐™๐™‰๐˜ผ ๐˜ฟ๐™€๐™‰๐™„.... ๐˜ผ๐™ˆ๐™€๐™‡๐™„๐™‹๐˜ผ๐˜ผ๐˜ผ ๐™”๐˜ผ๐˜ผ๐™‰๐™„ ๐™‰๐˜ผ๐™๐™๐˜ฟ๐™„๐˜ผ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™ˆ๐™Ž๐™„๐™Ž๐™„๐™๐™„๐™•๐™Š ๐™†๐™’๐˜ผ๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐˜ผ๐˜ผ๐˜ผ ๐˜ผ๐™ˆ๐™€๐™‡๐™„๐™‹๐˜ผ๐˜ผ๐˜ผ ๐™”๐™Š๐™๐™€ ๐˜ฝ๐™’๐˜ผ๐™‰๐˜ผ..... " ๐™Ž๐™„๐™…๐™๐™„ ๐™‰๐™„๐™Ž๐™„๐™Ž๐™„ ๐™‰๐™„๐™Ž๐™„๐™Ž๐™„๐™๐™„๐™•๐™€๐™…๐™€ ๐™ƒ๐˜ผ๐™‹๐™Š๐™Š๐™Š... ๐™‡๐˜ผ๐˜ฝ๐˜ฟ๐˜ผ ๐™๐™ ๐™‰๐™„๐™Ž๐™€๐™ˆ๐™€ ๐™†๐™’๐˜ผ๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ ๐˜ฝ๐™„๐™‰๐˜ผ๐˜ฟ๐˜ผ๐™ˆ๐™ ๐™ƒ๐˜ผ๐™๐™‰๐˜ผ ๐™Ž๐˜ผ๐˜ฝ๐˜ผ๐˜ฝ๐™ ๐™”๐™Š๐™”๐™Š๐™๐™€ ๐™„๐™‡๐™€ ๐™”๐˜ผ ๐™†๐™๐™๐™„๐˜ผ ๐˜ฟ๐™ƒ๐˜ผ๐™ˆ๐˜ฝ๐™„๐™‰๐™„ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™†๐™’๐™€๐™‡๐™„ ๐™‹๐˜ผ๐™Ž๐™„๐™‹๐™Š ๐™†๐™๐™…๐™„๐™๐˜ผ๐™†๐™„๐˜ผ ๐™ˆ๐™’๐™€๐™‰๐™”๐™€๐™’๐™€ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™†๐™๐™„๐™†๐˜ผ๐™‰๐˜ผ ๐™†๐˜ผ๐™•๐™„ ๐™”๐˜ผ ๐™ˆ๐™Ž๐˜ผ๐™‡๐˜ผ๐˜ฝ๐˜ผ๐™‰๐™„" MBARIKIWE SANA WATUMISHI KWA HUDUMA HII... TUUPELEKE WIMBO HUU KWENYE 1 MILLION VIEWS IN ONE WEEK KWA KWELI UNASTAHILII
  • @Faith_joseph
    Nimerudi tena huu mwaka 2024๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโ™ฅ๏ธ๐Ÿ™๐Ÿพ
  • Ukija kwa siri kwenye room yangu kila jumapili kabla y kwenda kansan.. You will find me dancing the song with full of joy,vibe,happiness,laughter... I'm really blessed with the song from neema gospel...the message is there,vibe is there everything is there.....kwa Yesu ni raha..
  • @amani9532
    ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜KUTOKA BURUNDI BUJUMBURA TUNASHUKURU SANA KAZI YA MSLABA PIA TWAWAPONGEZA NINYI MNAOJITOLEA KUITANGAZA KAZI HIYO YA THAMANI ILIYOTUFANYA WANA WARITHI WA UFALME WA MUNGU WETU ALIYE HAI!
  • Kila kizazi na ladha yake ashukuriwe Mungu kwa kuweka kipawa cha kusifu na kuabudu ndani yenu endeleenj kunyenyekea mbele za Mungu atawashangaza kwa wema wake na bado ana mengi mazuri kila kizazi na ladha walikuwepo mapigano ulyankulu, mama jusi , ..n.k now it it is your time furahieni kuwa vijana mtumikieni Mungu kwa bidii
  • @joytaura1953
    It's Easter and we couldnt have a better song for the season. Thank you so much, more anointing to all of you...Halleluyaah๐ŸŒ…๐ŸŒ„
  • I love this song "TUMESAMEHEWA DHAMBI HATUNA DENI" โค๏ธ
  • Amina, alilipa yote Bwana pale msalabani, hatuna deni ni maneno mazuri , nabarikiwa,, mbarikiwe pia
  • Much blessed here in Kenya.you people are blessed of the Lord. Tumesamehewa dhambi zote.(thank you Jesus for your love).
  • @teddylameck3355
    Hakika tumesamehewa dhambi atuna deni nafurahia ushindi wa Yesu***mbarikiwe Neema Gosper nawapenda mno****Teddy .L.Mandilind ....From France
  • @gloriousn6425
    Wimbo mzuri, wenye ujumbe unaogusa moyo namna hii unaanzaje kuangalia mara moja bila kurudia, KAMA SIYO MSALABA NINGEKUA WAPI MIMI ASANTENI SANA VIJANA KWA KUTOA MUDA NA NGUVU ZENU KUMTUMIKIA HUYU YESU mbarikiwe mpaka mshangae ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
  • @johnnyokabi
    You're just amazing.. the drummer is soo passionate and does it with all the energy.๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰ Toka Kenya Deliverance church Utawala tunawapenda...๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰
  • Hakika msalabani mambo yote Bwana alimaliza.. Bwana awainue siku zote
  • @enockkagolora
    Nimebarikiwa nirpo usikia huu wimbo mbalikiwe sana watumishi