Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )

818,621
0
Published 2024-03-15
Ufunuo wa Yohana 4:4
[4]Na viti ishirini na vinne vilikizunguka kile kiti cha enzi, na juu ya vile viti naliona wazee ishirini na wanne, wameketi, wamevikwa mavazi meupe; na juu ya vichwa vyao walikuwa na taji za dhahabu.

Zaburi 97:9
[9]Maana Wewe, BWANA, ndiwe Uliye juu,
Juu sana kuliko nchi yote;
Umetukuka sana juu ya miungu yote.

Nasisi Agape Gospel Band tunaungana nao wazee ishirini na wanne na wenye uhai wanne tukisema BWANA UMETUKUKA MILELE πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ


Credits:
Venue :Calvary Temple (Arusha)
Video Directed by : Amigo Johnson (Amijoji Company Ltd)
Audio Capturing :Sam Mboya
Sound Engineer: Mitchell Mike
Audio Mixing &Mastering : Baraka Ngowi (b_ngowi)
Backline :Maksudi
P.A : Tumaini Shangilieni Choir
Lights :Nyakalo Stage lights
Decor :Bervely Betwell

Connect with us Via:
Mobile :+255 710 087 353
Whatsapp: wa.me/c/255710087353
Instagram :instagram.com/agapegospelband
Tiktok:www.tiktok.com/@agapegospelband
Twitter:twitter.com/agapegospelband
Facebook:www.facebook.com/agapegospelband

All Comments (21)
  • @OFFICIALSEMAH
    Wa kwanza Toka Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ napenda sana agape music bad so πŸŽ‰πŸŽ‰πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŽ‰πŸ˜‚ naomba like hapa zote za agape music 🎡🎡🎡
  • @Vuvi-jr
    Team Kenya sign hapaπŸ˜‚β€
  • @roggersboke7162
    Instrumentalist walichezesha viombo until wakaanza kucheza. Agape band mnanimalizaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
  • Agape band vile munafanya Mungu azidi kuwainua zaidi kama wewe ni mupenzi sebene gonga likes nyingi hapa
  • @Israelyrn
    Best gospel band in east Africa ❀..πŸ‡°πŸ‡ͺ Mombasa tuned in
  • @mablegomwe5432
    Zimbabweans lets gather here......well done @Agapegospelband
  • @PrincessOm3285
    Awwwww Mungu ume tukuka milele wapi like za iyi band jamen sijawahu fikisha 50 likes mwenye ame barikiwa tubarikiwe sote nakupita na like apa please πŸ˜ŠπŸ’ƒπŸ₯³
  • @cleanartke
    πŸ˜‚Mimi nami nilipo naskwenda hadi job wanadai nimechizi .hawajui rhythms inaponya stress.wapi like tukizonga πŸ˜…
  • @rosemwiti6295
    KenyaπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ waiting to be blessed
  • @neemajohnson7508
    NA KENYAπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ TUNASEMAAAAA UMETUKUKA MILELEπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œβ€β€β€β€
  • Team strong piga likes tukisonga .Kenyans in gulf twende nalo tap tap screen πŸ˜‚β€β€β€β€β€β€β€β€β€
  • @samykingug7093
    Congolese vibes β€β€β€β€β€β€πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡¨πŸ‡©πŸ‡¨πŸ‡©πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸ˜’
  • @sebenmover
    Finally πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimengoja kama mvua ❀...like zangu jamaa
  • Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ is taking Gospel music to another levels....thanks much love from our people in Christ.
  • @carol1_kimani
    Nilisahau kucomment last time ... LOVE FROM KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ AND GULF...❀❀❀.. AMEN ...AMEJIBU MAOMBI NA KWAIVO JINA LAKE LITUKUZWE Thanks for the 2 likes
  • Baba vedu vekudenga zita renyu ngarikudzwe!! Where is my Zimbabwean family ???