Ukae Nami - Henrick Mruma (Official Live Video)

2,687,162
0
Published 2023-01-01
#SeedOfFaith #UkaeNami #KaaNami #ASeasonOfHarvest

Zaburi 121:5-8
β€œBWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume. Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.”

🌱 Ni shauku yetu kwamba wimbo huu ukawe maombi yako unapousikiliza na Mungu Akae nawe maishani mwako milele


Song writer: Henrick Mruma
Music arranger: Kepha Mndeme
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH



Sound System: Sound Solution International
Sound Engineer: Balisidya
Audio Capturing: Sam Mboya
Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes)
Video Production: SP Visuals
Lights: Nyakalo Lights
Stage Design: Winfred Palmena
Stage Decor: Gatty Events
Venue: City Harvest Church
Outfits: Dar Suit and Kuya Creations


Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa

All Comments (21)
  • @Goodness9094
    I was Muslim and converted to being a follower of our lLord Jesus Christ..I prayed to God one time with all my heart and asked him to show me if he’s real then Jesus came into my life. The holly spirit is guiding me and I will start preaching in God’s name one day to bring this gift of true love and happiness to less fortunate and lost souls.Amen β€β€β€β€πŸ™πŸ˜‡
  • TANZANIA IS BLESSED, Tunajifunza kutoka kwenu...Love from KenyaπŸ˜Šβ€οΈπŸ‡°πŸ‡ͺ
  • Aki watanzania si mtugawie hii roho yaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ maabudu.soo amazing..... oooh lord😭😭
  • ASANTE YESU KWA Neema hii eti na mimi mwanangu namuona humu utukufu MWAKO hakika umenipa utajiri wako mwingiiiiiiiiiiii saaaaaana sijui Baba naomba ulinzi tu wako🀲
  • Tanzania artists are so much filled with the Holy Ghost.. much love from Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
  • Nlimpokea yesu siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza mwaka wa 2024, na ombi langu ni kwamba Bwana Yesu akae nami. Asiniachilie. Ijapo kuwa mto utafurika, Naomba tu anishikilie Mkono.
  • Tanzanians have the grace of worship,,,much blessed from,πŸ‡°πŸ‡ͺ
  • From +254 Nairobi Kenya~πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ It's 1am in the morning and the anointing in this music has taken me straight into the presence of God..... Huu wimbo umenihudumia kwa njia isiyo ya kawaida, umenikumbusha jinsi Yesu alituahidi kwamba hatawahi kutuacha mpaka mwisho wa dahari, Asante wenzangu kwa kujitoa kwa Bwana kutumika naye kwa kuhudumia watu wake kwa njia kuu kama hii.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
  • Jmn Mungu akubariki Sanaa hakika Bwana ukae na Mimi milele iwe furahia au shida Mungu ukae namituuuuuu eee
  • @Haaaaaaleluyah
    This is not just a song its my sincere prayer 😭😭.. Kaa Nami Bwana From Saud Arabia πŸ‡ΈπŸ‡¦
  • Thank you so much Kenyans for supporting us Tanzanians,we really appreciate,you are blessed
  • Lord raise me to be a worshipper in Jesus name!!! Psalms 91 translated for us in Swahili πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ™πŸ™πŸ™πŸ’—πŸ’—
  • @emmahgitata2336
    Stay with me Lord.. Please do not forsake me. Remember me Lord 😒😒
  • @newchemchem5251
    Umenishawishi IBADA INAENDELEA moyoni mwangu ndugu umenibariki sana
  • @annmaina8985
    Upako uliopo katika wimbo is on another level,can't get enough. Love from πŸ‡°πŸ‡ͺ
  • Bwana Yesu 2023 ninaomba ukae nami usiniache hata hatuaa moja😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mruma Yesu akubariki sana sana sana
  • @Faraja49
    Ebwana ukae nami milele , unibariki nitokapo na niingiapo milele
  • Mungu uwe na wanawake wote wanaotarajia kujifungua mwaka huu bila wewe hawawezi