VIBE LA RAIS ENG. HERSI, WACHEZAJI BAADA YA UBINGWA WA LIGI - MOROGORO

83,863
0
Published 2024-05-13

All Comments (21)
  • @user-uo6nw1gb8b
    Nawapongeza sana viongozi , benchi la ufundi wachezaji, wadhaminini wettu, pamoja na ss mashabiki, haikuwa kazi rahisi, juhudi, moyo wa kujitoa maombi kwa Mungu wetu , but Asante Mungu kwa hiki ulichotupa tutie moyo, nguvu, ili tuchukue kombe la CRDB , Baba wa mbinguni sifa na,utukufu zikurudie ww uliye juu ya vyote
  • @kanchitarshi
    Najikuta natabasamu jamani yanga rahaaaaaa sana πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ§‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
  • @munamuna4621
    Single hii ndo rahaaa yetu gonga like tujuaneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…matumaini na kiwew bado anawatesa makoloo fc
  • Tunamshukuru Mungu kwa kutwaa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo. Hongereni sana wachezaji kwa kupambana, haikuwa rahisi. Hongereni benchi la ufundi na viongozi
  • Hongera kwa wachezaji wetu kwa kujitoa na kufanikisha kutwaa ubingwa kwa mara ya 30, benchi la ufundi, viongozi wote na wadhamini wote wa klabu yetu ya YANGA Kwahakika muunganiko huo ndio umekuwa chachu ya mafanikio haya. Mmetuheshimisha na tunajivunia kuwa wana yanga. Daima mbele nyuma mwiko, mapambano yaendelee bado tunadaiwa FA lets do it WANANCHI.πŸ’ͺ
  • @selemanmcharazo
    Leo nimefurahi Kwa ubingwa lakini pia kuwaona Babu kaju akikichafua na Dogo Mushery Kwa kazi nzuri Big up.
  • Hiyo ndo familia yetu ya yanga watu wanaishi kwa upendo wallah hii team sihami ata ipitie mapitogani i love you yang Africans
  • Duuu nimefrah sana jinsi mnavyofurahia ushind kwa pamoja . hongeren sanaaaaa
  • @perepetuajohn
    Asante Mungu kutupa ubingwa tenaaa hongereni viongozi benchi la ufundi wachezaji wetu na wanayanga wote Kwa ujumla. I LOVE YOU YANGAAAA SCπŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰
  • Full furaha hadi sisi tunao tazama kwenye tunahisi tupo hapo kweli kuwa mwananchi ni raha πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
  • Hongereni sanaa vijana nimefurahi sana zaidi ya sana mmepigana jihad Allahamdulillah mpaka ubingwa! Mengi mmetendewa uwanjani mabaya kudhulumiwa magoli kadi za uonevu kuumizwa kwa makusudi nk Yote Allahamdulillah Asanteni bechi na uongozi mzima yanga oyeeeee!❀❀❀
  • @anetboaz8783
    Ahsante Mungu,viongozi,wachezaji,benchi la ufundi na mashabiki Mungu atubariki
  • Viongoz sio wa mpira ila hata taasisi za biashara, mashirika ya umma wanakitu cha kujifunza kutoka kwa Eng. Hersi Said amekuwa akishuka down kabisa kujiunga na watendaji wake. Hadhi ya Urais wa klabu kwenye macho ya watu sio hadhi ya kukimbizana na vijana wake wakifurahi ila Eng. cheo kwake sio kitu zaidi ya kuwa ni nendo tu. Kudos and much respect to you Mr. President Eng. Hersi SaidπŸ‘
  • @user-ql6hg7fy9p
    Sifa na shukrani tumrudishie Mungu kwani yeye ndiye mpaji wa yote, pongezi za dhati kwa wachezaji wote na benchi la ufundi, viongozi, wanachama na mashabiki uwekezaji na umoja wetu ndio ufunguo wa mafanikio yetu, kwa neema ya Mungu tujaliwe kuwa na mwendelezo mzuri zaidi msimu ujao.
  • Congratulations our very own team and everyone took part. Your determination, commitment and hardwork throughout season 2023-2024 lead to these happy moments we are cherishing right now. CONGRATULATIONS Congratulations & congratulations...we love you guys #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
  • @ellamsakafu60
    Good job guys congratulations for the achievement you have reached after hard work from the very beginning. You deserveπŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰β€β€β€
  • @user-bw1hs2nd8p
    Tunamshukuru Mungu, aendelee kukupeni nguvu, afya na Kila hitaji lenu la moyo. Yanga bingwaaaaaaaaaaaa❀❀❀❀❀❀❀❀❀
  • MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
  • @user-yc3yf7io7g
    πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š honreni sana viongozi pia benchi la ufundi pia wachezaji na mashabiki kwa ujumla niombe Rais wetu endeleza furah hizi hizii ten msimu hujao