KAYUMBA _-_ BOMBA [Official Video]
2,860,698
Published 2021-02-18
DIRECTED BY MAJAGI
PRODUCER BY MR T TOUCH
Connect with Kayumba on :
Instagram:
www.instagram.com/kayumbaasosie
Boomplay:
www.boomplay.com/artists/2500768?from=search&srModβ¦
AUDIOMACK:
audiomack.com/kayumba-4/song/12391940
All Comments (21)
-
Nani kairudia hii ngoma mara zote ππͺπΏπ₯gonga like twende sawa
-
Kwan mki like mara mbili mbili kwan vip? Si Bomba tu...
-
Kama unamkubali huyu mwamba gonga likeβ€
-
Hii ngoma imefanya nimtafute huku after kuskia kwa radio πΉπ°πͺπ°πͺπ°πͺπ°πͺ kama umsikia kemoda piga likeππππ
-
Ngoma kali gonga like kama unamkubali kayumba π₯π₯
-
Wa kwanza hapaa leo like za fundii kuyumba hapa!!!ππ―
-
Ambao hatujawahi pitwa na nyimbo za huyu mwamba tujuane kwa like βοΈ
-
Haya mambo ya timu ebu tuacheni Tanzania yetu imebarikiwa wasanii wanaojua kuimba hadi wanakeraπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
-
Jamani team kayumba,, tusibaguane gonga like Japanese basi iwe bombaa
-
Uzuri wa huyu kayumba anaga skendo za ajabu yeye ni mzik mzur tu π₯π₯π₯
-
Kayumba hajawahi kuniangusha
-
Bomba kwel, I like it all the way from Malawi π²πΌ π²πΌπ²πΌ . The guy is so talented β€οΈπππ much Love β₯οΈπβ₯οΈππ Gonga like to show love jirani
-
Kayumba ujawahi kuniangusha naombeni ata like 40π₯π₯π₯ππ
-
Kama hauna utimu heb wekeni like hata moja tyu huyu kayumba na radha ya mziki wanafanana kabisahππππ
-
Ndani joto sitaki feniiii natamani ni like comment ya kila mtu. Hapo vipiii
-
Tz huyu nd msaniii ninaemkubali mm kama na we unamkubli gonga like tujuane
-
β€β€ love it so much
-
Natamani nikatongoze Mara ya pili apo vp wapi like za kayumba π₯
-
Binafsi sichokagi kuusikiliza huu wimbo,π―
-
Why is this guy not heard enough?? his a great singer π₯°π₯°π₯°