UFUGAJI WA BATA VS KUKU
10,022
Published 2022-01-05
#ufugajiwakuku
👉Jiunge nasi facebook
www.facebook.com/profile.php?id=100063481549161
👉Video zetu kuhusu ufugaji wa kuku na kilimo cha mazao mbali mbali zinapatikana
/ @agalustv
All Comments (21)
-
Asanteni kwa mafunzo yenu yanayoendelea. Bado naendelea kujifunza.
-
Habali ya kazi mm ndy nimeanza ufugaji wa bata, nataka kufahamu bata anauwezo wakutotoa Mayai mangapi akiatamia kwakuwa bata wangu wametaga sehem moja zaid ya mmoja na Mayai yamekuwa zaid ya 30
-
Asante kwa elimu
-
Kwa sababu wanakula sana
-
Soo beautiful 😍 Stay connected please 🙏🏼
-
Nahitaji mayai kwa ajiri ya kutotolesha.
-
Vifaranga vya bata wangu haviwezi kusimama ghafla tu.je shida ni nini na dawa ni nini
-
Naitwa Adam chiza niko mwanza busweru naombo maerekezo jinsi ya kutunza vifaranga vya kuku
-
Wanadema ukiyashika mayai ya Bata anazira kuyaatamia
-
Unaweza kuchanganya kuku na bata
-
Naomba kuliza changamoto za bata wanapoanguliwa unatakiwa wapewe Nini na wanatakiwa uawandaaje
-
Tuma number ya simu yako
-
Bata anaanza kutaga akiwa na umri gani?
-
Mm nataka nianze kufunga bata ila Watu wanasema kwamba bata hawana faida kwa sababu wanakuja sana
-
unaweza kufuga kuku na bata wakalala chumba kimoja?
-
Je bata anaweza kufugwa kwenye cage yaani banda la ghorofa kama kuku??
-
Asande
-
Jamani masoko yao yako wap??
-
Kuku🔥
-
Nasikia bata hawana soko kama kuku, je ni kweli?